POSITIVE EYE CO. LTD3)MORINGA OLEIFERA (MLONGE)

HUU NI MTI WA MAAJABU ULIOTHIBITISHWA KUKINGA NA KUTIBU MAGONJWA ZAIDI YA 300 KWA MWANADAMU

UNATUMIKA KAMA CHAKULA BORA

Kwetu utapata:

Elimu na utaalam

Miche ya mti huu

Mboga ya majani ya mti huu (Mboga chanya)

Bidhaa zake mbalimbali (Zakuweka kwenye uji,chai na vyakula vingine)


“Ukiufanya mti huu kuwa sehemu yako ya maisha ya kila siku utakuwa umejiepusha na magonjwa mengi yanayosumbua watu katika dunia ya sasa, Ioteshe nje kwako”


Mti huu umeitwa wa maajabu sababu ya sifa zake kimatibabu na hali ya kuwa kila kitu chake huliwa na mwanadama, kuanzia majani yake, mbegu zake, magome yake, mizizi yake, nk


Mtu mmoja ajiwahi kusema "Eat your food as medicine, otherwise you will need to eat your medicine as food" Mtu huyu alimaanisha "Kula chakula chako kama dawa, vinginevyo utajikuta unahitajika kula dawa zako kama chakula"

Katika msingi wa ukweli huo hapo juu ndipo kampuni ya Positive eye tulipopata msukumo wakukuletea huduma hii wewe mteja wetu mjasiriamali (Mkulima na mfugaji) sabababu ili tuweze kuendelea vyema na shughuli zetu za kilimo na ufugaji na ujasiriamali kwa ujumla tunahitaji kuwa na afya bora.


TUNAHAMASISHA KILA MTU KUWA NA MITI HII NYUMBANI KWAKE NA ATUMIE MAJANI YAKE KWA MBOGAMBOGA ZAKULIA CHAKULA KILA SIKU PAMOJA NA KUJITENGENEZEA  JUISI AU KUTUMIA UNGA WAKE INAPOKAUSHWA NA KUSAGWA, KWENYE UJI AU VYAKULA MBALIMBALI KAMA KINGA YA MARADHI NA KUWA NA AFYA BORA.


KUPATA MICHE NA BIDHAA ZAKE

WASILIANA NASI

Piga: 0745122229, Whatsup +255788198080