POSITIVE EYE CO. LTD
 
SEHEMU MBALIMBALI ZA MFUMO WA UMWAGILIAJI WA MATONE KWA MATUMIZI YA FAMILIA AMBAO NI UBUNIFU WA POSITIVE EYE CO. LTD ILI KUWEZESHA FAMILIA KUNUFAIKA NA TECHNOLOJIA HII YA UMWAGILIAJI
 
DRIP IKIDONDOSHA TONE KWENYE MMEA. KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA HII UTATUMIA MAJI KIDOGO KWA MATOKEO MAKUBWA YA UZALISHAJI. NDOO MOJA YA LITA 20 ITAWEZAKUMWAGILIA MICHE 100 YA MBOGAMBOGA KWA UFANISI
 
MAONESHO YA NANENANE MWAKA JANA TUKIONESHA UWEZO WA UMWAGILIAJI WA MBOGAMBOGA WA MFUMO WETU WA BUCKET DRIP KIT,AMBAYO INAFAA SANA KWA KILIMO CHA MBOGA ZA MATUMIZI YA NYUMBANI

KILIMO CHA UMWAGILIAJI WA MATONE

Tunatoa elimu katika jamii juu ya umuhimu wa matumizi bora ya maji na tukisisitiza juu ya kuongezeka kwa uhaba wa rasilimali hii muhimu kwa mwanadamu na viumbe hai vyote ya maji.

 

Kuhamasisha kilimo cha kisasa cha matumizi ya  teknolojia ya umwagiliaji wa mazao kwa njia ya matone.

 

Kuuza mfumo mdogo wa umwagiliaji wa matone wakutumia ndoo moja kumwagilia miche mia ya mbogamboga za matumizi ya nyumbani

 

Kuhamasisha na kuelimisha kuhusu umuhimu wa kuvuna maji ya mvua.

 

Kuuza/kuwatengenezea watu mabwawa maalumu ya gharama nafuu yenye mifuniko maalumu kupunguza upotevu wa maji kwa njia ya jua, ili kuwawezesha kuvuna maji kipindi ambacho ni mengi kwa matumizi ya kipindi cha kiangazi.

 

Kuuza mifumo mikubwa ya umwagiliaji kwa teknolojia ya matone  kwa mashamba makubwa ya kiwango cha kuanzia robo hekari nakuendelea