POSITIVE EYE CO. LTD

POSITIVE EYE CO. LTD -         UTANGULIZI


KAZI NA HUDUMA ZETU

 

1)UFUGAJI WA SAMAKI KISASA

KWA ENEO NA GHARAMA KIDOGO FUGA SAMAKI WENGI NA BILA KULAZIMIKA KUCHIMBA ARDHI

Kwetu utapata:

Elimu na utaalam

Mabwawa yakuhamishika

Kuchimbiwa mabwawa

Vifaranga vya samaki aina zote

Chakula bora cha samaki

Vifaa vinavyohusiana na ufugaji samaki kisasa

Nyama ya samaki

Kwa maelezo zaidi Bonyeza ukurasa wa "UFUGAJI SAMAKI KISASA" hapo juu kabisa.

 

2) AZOLLA

KILIMO CHA CHAKULA BORA CHA MIFUGO KINACHOKUA NA KUVUNWA KILA BAADA YA SIKU (3) TATU TU

Kwetu utapata:


Elimu na utaalam wake

Vitalu vyakuhamishika vyakulimia Azolla (Growbed)

Kuandaliwa bwawa la azolla

Mbegu bora ya Azolla

Bidhaa zake (Vyakula vya mifugo)


Kwa maelezo zaidi Bonyeza ukurasa wa "AZOLLA" hapo juu kabisa.

 

3)MORINGA OLIEFERA

HUU NI MTI WA MAAJABU ULIOTHIBITISHWA KUKINGA NA KUTIBU MAGONJWA ZAIDI YA 300 KWA MWANADAMU

UNATUMIKA KAMA CHAKULA BORA

Kwetu utapata:

Elimu na utaalam

Miche ya mti huu

Mboga ya majani ya mti huu (Mboga chanya)

Bidhaa zake mbalimbali (Zakuweka kwenye uji,chai na vyakula vingine)

“Ukiufanya mti huu kuwa sehemu yako ya maisha ya kila siku utakuwa umejiepusha na magonjwa mengi yanayosumbua watu katika dunia ya sasa, Ioteshe nje kwako”

Kwa maelezo zaidi Bonyeza ukurasa wa "MORINGA" hapo juu kabisa

 


Kwa maelezo zaidi Bonyeza ukurasa wa "MENGINEYO” hapo juu kabisa.

 

4)MENGINEYO

·KILIMO CHA UMWAGILIAJI WA MATONE

·(KILIMO CHA SHAMBA KITALU)GREEN HOUSE FARMING

UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI KWA KUPITIA VIDEO/SINEMA NA WANENAJI /WAKUFUNZI WALIYOBOBEA

Kwa maelezo zaidi Bonyeza ukurasa wa "MENGINEYO" hapo juu kabisa.WASILIANA NASI au TUTEMBELEE

Simu: +255 745 122229  Watsapp: +255 788 198080

Tupo Njiro nanenane (Ndani ya viwanja vya maonesho ya kilimo nanenane) Tuko jengo la halmashauri ya
mji wa babati.
P.O. Box 10023 ARUSHA-Tanzania,East Africa. E-mail: positiveeye2010@gmail.com
Web/Wavuti:  www.positiveeye.zohosites.com


“WE SEE THE UNSEEN AND MAKE THEM SEEN”

OUR VISION

A generation transformed by minds renewed through a positive and aggressive attitude towards available legal opportunities for the creation of abundant employment, while maximizing their inborn potentials and living to fulfill their destinies.

OUR MISSION

Sensitize, inspire, motivate and mobilize people using the positive and inspiring material about the reality of life and available opportunities, to transform mindsets from negativity to positivity (pessimists to optimists), so that they discover their real nature and potentials to be able to exploit available opportunities and enjoy abundant life.